Je, Trump Ataweza Kuwatuliza Wamarekani? Hali Yaendelea Kuwa Mbaya Mitaani - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Jan 2017

Je, Trump Ataweza Kuwatuliza Wamarekani? Hali Yaendelea Kuwa Mbaya Mitaani


Ikiwa ni muda mchache baada ya Rais Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani, bado wanaompiga wanaendelea na maandamano dhidi yake.

Je, Trump ataweza kuwatuliza na kuwaunganisha wamarekani kabla hali haijawa mbaya zaidi?