Kutana na Harmo Rapper Msanii Anayefanana na Harmonize na Kutumia Fursa Hiyo ipasavyo - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Jan 2017

Kutana na Harmo Rapper Msanii Anayefanana na Harmonize na Kutumia Fursa Hiyo ipasavyo

Kutokana na kufanana huko amesema amejiingiza kwenye muziki na inamsaidia, hata wasichana mtaani anawang'oa sana kwa sababu ya mfanano huo na kuna label ya muziki imemchukua kutokana na mfanano wake