Serikali Yashindwa Kukamilisha Upelelezi ya Kesi inayomkabili Mmiliki wa Jamii Forums...Kesi Yahairishwa tena - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2017

Serikali Yashindwa Kukamilisha Upelelezi ya Kesi inayomkabili Mmiliki wa Jamii Forums...Kesi Yahairishwa tena


Kesi namba 458 yenye makosa 2 inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Hata hivyo kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 16 Februari 2017 itakapotajwa tena kwa Hakimu Nongwa kwasababu ya kutokamilika kwa upelelezi upande wa Jamhuri.

Pichani ni Mkurugenzi wa Jamii Media, @macdemelo (Wa pili kulia) akiwa na Wanasheria na wadau waliofika mahakamani Kisutu leo.