Yatazame hapa matokeo ya mtihani wa Form Two 2016 na Darasa la nne 2016 - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2017

Yatazame hapa matokeo ya mtihani wa Form Two 2016 na Darasa la nne 2016

Image result for matokeo ya form two 2016
Leo January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo ya upimaji wa kitaifa wa darasa la nne SFNA2016.
Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya Form two 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘FTNA 2016’  >>>BONYEZA HAPA
Unaweza kuyatazama matokeo ya darasa la nne 2016 kwenye link iliyoandikwa ‘SFNA2016’ >>> BONYEZA HAPA