BREAKING NEWS: Manji akamatwa tena wakati akitoka sentro, arudishwa ndani - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Feb 2017

BREAKING NEWS: Manji akamatwa tena wakati akitoka sentro, arudishwa ndani



Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amerudishwa na kushikiliwa ndani ya Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.


Manji alirudishwa kituoni hapo akiwa tayari amefika nje akiwa tayari kuondoka.