Mbasha: Gwajima Ana Roho Mbaya Sana na Roho ya Uharibifu, Hafai..!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Apr 2017

Mbasha: Gwajima Ana Roho Mbaya Sana na Roho ya Uharibifu, Hafai..!!!


Mwimbaji wa Injili aliyekorofishana na mkewe Emmanuel Mbasha amemkandia mchungaji wa Kanisa la ufufuo na uzima ambaye ndiye anadaiwa kuvunja ndoa ya muimbaji huyo kuwa ni mtu mwenye roho mbaya sana na roho ya uharibifu

pia amethibitisha kuwa mtoto wa mwisho wa Flora siyo wa kwake kitu amabacho kinapigia mstari kuwa Flora alizaa na mchungaji huyo kwani ndiye alikuwa nae benet