KITANDA Hakizai Haramu...Ila Kwa Huyu Mwanamke Hii ni Zaidi ya Haramu...Soma Hii Stori - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Jul 2017

KITANDA Hakizai Haramu...Ila Kwa Huyu Mwanamke Hii ni Zaidi ya Haramu...Soma Hii Stori


Huko Nigeria mwanamke mmoja aliolewa na mwanaume wa kwanza akaachika,akaenda kwa mume mwingine ambaye alikaa nae kwa miezi 8 na wakafanikiwa kupata mtoto mmoja. Mtoto alipofikisha miaka mitatu mume wa kwanza akasema ni wake na mume wa pili hivyo hivyo lakini walipopimwa vinasaba (DNA) ikaonekana mtoto hawahusu wote wawili.
Ungekutwa kwenye hali kama hii ungechukua hatua gani?