Rais Magufuli Afunguka Kuhusu Kutawala Kwa Miaka 20 - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Aug 2017

Rais Magufuli Afunguka Kuhusu Kutawala Kwa Miaka 20

Watu mbalimbali wamekua na maoni juu ya utendaji kazi wa Rais wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli akiwemo Mstaafu Mwinyi, Wananchi na hata baadhi ya Wabunge bungeni walisikika wakisema wanatamani Rais huyu atawale kwa muda mrefu.

Leo wakati Rais Magufuli akiwa kwenye ziara yake Tanga amenukuliwa akijibu hicho kinachosemwa kuhusu yeye kuendelea kukaa madarakani hata baada ya muda wake kumalizika.

JPM amesema hawezi kukaa madarakani kwenye Urais kwa miaka 20 kama alivyoombwa pia na Mbunge Steven Ngonyani kwasababu ni kinyume na katiba.