Wahariri Wapuuza Agizo la Viongozi wa TEF la Kusitisha Zuio la Kuandika Habari za Paul Makonda... - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Aug 2017

Wahariri Wapuuza Agizo la Viongozi wa TEF la Kusitisha Zuio la Kuandika Habari za Paul Makonda...

Ni wahariri wa magazeti ambao wameipuuzia kabisa habari ya Press Conference ya jana kati ya Makonda na wanahabari.

Gazeti pekee lilioripoti habari ya viongozi wa TEF kutangaza kusitisha zuio la kuandika habari za Makonda ni gazeti la Uhuru tu ila magazeti mengine yote yameipata kisogo habari hiyo na picha zake.

Viongozi wa TEF mjitafakari kama mnafaa kuendelea na nyazifa zenu ndani ya Taasisi hiyo maana ni wazi hata wahariri wenzenu wanawapinga katika hili jambo.