Mtoto wa Miaka 2 Amerudishwa Nchini, Baada ya Wazazi Wake Kukamatwa na Dawa za Kulevya China - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Feb 2018

Mtoto wa Miaka 2 Amerudishwa Nchini, Baada ya Wazazi Wake Kukamatwa na Dawa za Kulevya China

Taarifa tuliyoipokea kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ni kuhusu Watanzania wawili wamekamatwa nchini China January 19, 2018 wakiwa wamemeza dawa za kulevya tumboni kwenye uwanja wa ndege wa Baiyun Guangzhou