VIDEO: Jeshi La Polisi Kumchunguza Mbowe - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Feb 2018

VIDEO: Jeshi La Polisi Kumchunguza Mbowe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro Jumanne Muliro amesema wanachunguza kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa kuhusu 'kuuwawa' kwa kiongozi wa Chama hicho huku akitoa shutuma kwa jeshi hilo kuhusika.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI