Mimi nina mtoto wa miezi 10 sasa, niliachana na aliyenipa ujauzito nikiwa na mimba ya miezi 2 mwaka jana mwezi wa 2, na tangu mwaka jana nilikua sijakutana kimwili na mwanaume yoyote yaani nimekaa mwaka 1 na miez 5.
Miezi mitatu iliyopita nilikutana na kaka mmoja akawa anataka kunioa, but juzi nikashiriki nae tendo kibinadamu, na mimi na hisia kweli.Nilisex nae mara 1 tu na nilienda kuoga kabla sijamnyonyesha mtoto.
Naomba kuuliza inaweza kumdhuru mtoto?
Je, nifanyeje?
Msinielewe vibaya ndugu yangu baba mtoto yuko mbali na ana mwanamke mwingine .
Hana muda na mimi kabisa, mimi ni binadamu hisia zilinizidi tu nikawa nimefanya hivyo.
22 May 2018
New
Je, Ntakuwa Nimemuharibu Mtoto? Nimefanya Mapenzi na Mwanaume Ambaye si Baba wa Mtoto...
mulo
Newer Article
Sio Dada yake ila Mdogo Wake Ndiye Chaguo Langu..Dada Kanitongoza Kabla Sijamtongoza Mdogo wake niliyekuwa Namnyatia.....
Older Article
Mume wa Mtu Mbona Haniachi Jamani Miaka Sita Sasa Ameniganda Kama Ruba....
MADHARA ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda MrefuMay 27, 2018
Sijamaliza Ashasinzia au Ndo Nina KibamiaMay 26, 2018
Labels:
USHAURI