VideoMPYA: Wakali kutokea Kenya SautiSol wanatualika kuitazama ‘Short and Sweet’ - MULO ENTERTAINER

Latest

22 May 2018

VideoMPYA: Wakali kutokea Kenya SautiSol wanatualika kuitazama ‘Short and Sweet’

Karibu kuipokea hii mpya kutoka kwa wakali wa Kenya, Sauti Sol wimbo unaitwa“Short and Sweet” wamemshirikisha mkali Nyashinski kutokea Kenya. Bonyeza PLAYhapa chini kuitazama.