Kutana na Mwanamke Anayefanya Mapenzi na Mizimu..Adai Anasikia Raha Kuliko Akifanywa na Binadamu wa Kawaida - MULO ENTERTAINER

Latest

23 Mar 2019

Kutana na Mwanamke Anayefanya Mapenzi na Mizimu..Adai Anasikia Raha Kuliko Akifanywa na Binadamu wa Kawaida

Anaitwa Amethyst Realm Mwanamke Kutoka Uingereza, Amewahi lalamika katika Kipindi cha Televisheni cha 'This Morning' cha ITV ya Uingereza  kwamba Amefanya Mapenzi na zaidi ya Mizimu 20.

Anasema Kisanga Kiliamza Mwaka 2005 Akiwa na Miaka 15 Ambapo yeye Pamoja na Familia yake Walipohamia Katika Nyumba Mpya na Baada ya Siku chache akaanza Kuhisi Mtu Anamshikashika Usiku Huku Hamuoni na Kupelekea kufanya nae Mapenzi, na Hali hiyo iliendelea Kumtokea Kwa Miaka Mingi.

Anasema Ilianza kama Nguvu fulani hivi Inampapasa, Baadae Akawa anaona Kabisa Anahemewa Mihemo Maeneo ya Shingoni na Anashikwashikwa Sehemu za Mwili wake Usiku bila Kumuona anaemshika na Baadae Wanafanya Mapenzi.

Hali hii anasema Ilimtokea Kwa Miaka Mingi hadi Siku Moja Alipomtembelea Mpenzi wake, na Mpenzi Wake Alipokua Anarudi Nyumbani Usiku Alikuta Kivuli Kinakimbia Kupitia Dirishani na Akahisi Alikua na Mwanaume Ndani na Hapo ndipo ilikua mwisho wa Mzimu huo Kuja.

Amethyst Anasema Alimwambia Mpenzi wake Asihangaike Kumfatilia Kwasabu Asingempata kwakua hakua Mtu wa Kawaida bali Ulikua ni Mzimu, Baada ya Kuambiwa Hvyo Jamaa Akapaki Mabegi Akasepa!!. .
.
Amethyst anasema Alikua Anahisi kabisa Ladha ya Penzi huku Anaemfanya Haonekani na Alikua Amefanya Mapenzi Mara nyingi sana na Mizimu zaidi 20 tofauti na Hadi Anaiambia ITV  Mwaka 2017 Anasema Alikua Anaujauzito Alioupata Kwa njia hiyo na Chaajabu ni Kwamba Alionyesha Kuridhia Kuendelea na Mahusiano yake na Mizimu!. .
.
"Ni Kweli Hauwezi (Mzimu) Kuninunulia Maua au Kunitoa Kwenda Sehemu Kufurahi lakini Furaha Ninayoipata Kwake Ni Special, Naota Ndoto nzuri na Najihisi Furaha" - Amethyst .
.
"Wakati wa Tendo Nahisi Miguso na Raha ya Ajabu Huku Anaenifanya Simuoni na Kuna Muda Hua Nashangaa Nageuzwa Kabisa Kufanyishwa Mapenzi Styles Tofautitofauti" - Amethyst .
.
"Nimewahi Sikia Mara nyingi juu ya Jambo hili la Mwanamke Kulala na Viumbe Wasioonekana Usiku na Sasa Ninahisi nina Ujauzito wa Viumbe hao" Alisema Amethyst. .
.
"Sio Pekeangu tuu Nilie Katika Mahusiano na Mzimu, Nasikia Habari Nyingi kama Hizi Watu huenda Sehemu Fulani Kukutana na Wapenzi wao ambao ni Mizimu" - Amethyst

Hali hii ya Kushiriki Mapenzi na Mzimu inaitwa 'Spectrophilia'. #Love