Nje ya chumba cha Diamond na Zari ulinzi ulikuwa hivi...... - MULO ENTERTAINER

Latest

29 Dec 2014

Nje ya chumba cha Diamond na Zari ulinzi ulikuwa hivi......

askari 2 askari 5
Kumbe ulinzi wao uliendelea mpaka siku ya sho ambapo mmoja wao aliwekwa Nje ya chumba cha Diamond na Zari. Ni Mlinzi kutoka jeshi la Uganda akilinda usalama Wa@diamondplatnumz na @zarithebosslady  Hii picha akiwa nje ya chumba akiwasubiri wakati wakijiandaa.