Ally kiba na wanawe daah pendeza sana maana wanafanana GOOD DAD.... - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Jan 2015

Ally kiba na wanawe daah pendeza sana maana wanafanana GOOD DAD....

"Nawapenda sana watoto wangu! Kingine ambacho kinabeba na kita endelea kubeba uzito kwenye maisha yangu ni familia yangu na hasa watoto wangu. Wananipa FURAHA sana. Inshaallah Mwenyezi Mungu awalinde siku zote, Amin
Una lipi la kumwambia Kiba hapo?