Rihanna aanza kazi na kampuni ya puma kwa kuwatangazia bidhaa zao kama anavyoonekana katika picha - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Jan 2015

Rihanna aanza kazi na kampuni ya puma kwa kuwatangazia bidhaa zao kama anavyoonekana katika picha

Mwanamuziki Rihanna Ameanza kazi yake Kwa kishindo aliyepewa na Kampuni ya Mavazi na Viatu vya Puma kama Mkuu wa ubunifu..
Amepost kwenye profile yake picha akiwa amevaa chupi za Puma , Haya wadada kazi Kwenu 

"Rihanna who is now the creative director of Puma is sure taking her job seriously. The seductive star showed off her figure in nothing but Puma briefs...
Now every lady would want to rock these"