Baraba yaanza kusamabaratika hata kabla ya kukamilika balaa tupu uchakachuzi - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Jan 2015

Baraba yaanza kusamabaratika hata kabla ya kukamilika balaa tupu uchakachuzi

Kwa mtu yeyote aliyepita barabara hii hivi karibuni, hawezi kuacha kushangaa kwa kusambaratika au kuchanika kwa hii barabara ambayo wala haijamalizika kujengwa.
nimeona kukatika huku kwa lami takriban karibu kilometa 20 au 25 hivi.