Picha Hii Kuanzania Jana inasambaa kwa Kasi sana Mtandaoni Ikiwa na maelezo kuwa ni Msichana Aliyenyeshwa Pombe na kufanyiwa kitu mbaya na Panya Road...Najiuliza Hao Panya Road Kumbe walikuwa wana nafasi ya kunywesha watu pombe na kuwafanyia kitu mbaya? Hii ni hataari hasa kwa wanaopenda ofa.
17 Jan 2015
New