Celebrities News: Wema Sepetu "Huyu Ndio My Idol” kwenye kuigiza ! Je Ni Nani ? - MULO ENTERTAINER

Latest

30 Jan 2015

Celebrities News: Wema Sepetu "Huyu Ndio My Idol” kwenye kuigiza ! Je Ni Nani ?

Wema Sepetu: Huyu ndio  “my Idol” kwenye kuigiza!!


Antaitwa Taraji Penda Herson, aliezaliwa miaka 44 iliyopita huko Washington, ni moja kati ya waigizaji wakubwa wa huko Hollywood, ni mama wa mtoto mmoja na anaishi kama “Single Mother” ameshasheza tamthilia, vipipindi vya televisheni na filamu mbalimbali zikiwemo  Think Like a ManMadly Madagascar ,Think Like a Man Too na No Good Deed alizozicheza miaka ya hivi karibuni.
Chakushangaza sasa majina yake  mawili ya kwanza yana asili ya kiswahili kabisa  “Taraji"  na  "Penda"  wanayatafsiri kama “hope” na “love” kwa lugha ya kingereza. labda  inawezekana akawa ana asili ya huku afrika ya mashariki
Sasa hivi anaendesha kipindi cha televisheni kinachoitwa Empire kinachirusha na channel ya FOX.
Kupitia ukurasha wake wa Instagram mwigizaji Wema Sepetu alitupia picha za taraji na kuandikuwa ilinapokuja swala la kuigiza yeye anampenda na angependa kuwa kama yeye. Haya ndio maneno ya Wema baada ya kutupia picha ya Taraji;
“This Woman Tho..... Talk abt my idol wen it comes to acting.... Ladies and Gentlema.....Taraji..Cookie Isnt she just something.... I jus love her”-Wema alimaliza.