Breaking News: CEO wa ASAS Afariki Dunia. - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Aug 2021

Breaking News: CEO wa ASAS Afariki Dunia.

 


Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar es Salaam, na familia yake imeomba waombolezaji wasiende nyumbani na atazikwa hii leo katika Makaburi ya Kisutu.