Kumekuwa na tabia hasa kwa wanawake kwenda kwa waganga na kutaka dawa na kumvuta mpenzi ama kumdhibiti mwaname
Sasa kwa taarifa yako kwa wale wanaopenda kutumia Ushirikina kwenye suala la Mapenzi sasa mwisho wao umewadia, Serikali imeshapiga marufuku Waganga wa kienyeji wenye shughuli zinazohusiana na kupiga ramli.
Jipangeni upya mapenzi si ramli wala Mitishamba..
Huko kwa waganga mnaenda kudanganywa tu na mwisho kujikuta kutumia hela nyingi sana bila sababu , na kuna habari kuwa waganga wengine wanakulala kwanza wewe wakidai wanakuwekea dawa kwa njia ya kufanya mapenzi ili uwe na mvuta kama inavyoonekana hapo kwenye picha..
Akila mapenzi si Ndumba wala Ndagu Jamani.... Mapenzi ni elimu na utaalamu.
TUBADILIKE