Faiza:Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto! - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Jan 2015

Faiza:Hata Baada ya Kuzaa Naona Bado Nina Mvuto!


Muigizaji wa filamu Bongo alietoa kali ya  mwaka jana kwa kuvaa  Diaper  wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’ kwenye kusherekea siku yake ya kuzaliwa, Faiza Ally leo ameibuka  na picha akiwa ufukweni amevalia vinguo vya kuogelea huku pembeni akiwa na mtoto wake nakudai kuwa bado ana mvuto hata baada ya kuzaa mtoto.

“Hata baada ya kuzaa naona niko sexy ile mbaya kudadadeki!!!!” Faiza aliandika


Haya hebu jionee na umwambie kitu mama huyu mwenye mvuto.