Habari>>Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo! - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Jan 2015

Habari>>Jokate Akanusha Kutoka na Millard Ayo!



Mwanamitindo na mwigizaji, Jokate Mwegelo ameucho molea vilivyo uvumi uliozagaa kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na mtangazaji Millard Ayo wa Clouds FM.

Uvumi huo ulianzia mitandaoni ambapo mwanahabari wetu alipomtafuta Jokate juzikati, aliweka plain ukaribu wake na Millard ambaye ni mtangazaji mwenye mvuto mkubwa kwa jamii.

“Millard ni mshkaji, namkubali kutokana na uchapakazi wake, anajua kujituma na ni mpambanaji lakini nje ya hapo hakuna cha zaidi,” alisema Jokate.

Picha: Jokate akiwa katika pozi na Millard Ayo