Habari>>Mtu asiyefahamika ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu. - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Jan 2015

Habari>>Mtu asiyefahamika ahack namba ya simu ya AY, awaomba mamilioni watu wake wa karibu.



AY ambaye kwa sasa yupo jijini Nairobi, Kenya, ameiambia Bongo5 kuwa anashangaa kugundua kuwa namba yake ya simu inapatikana wakati chip anayo yeye na haipo kwenye simu.

Fundi Frank ni miongoni mwa marafiki wa AY walioombwa fedha na mtu huyo

    Kuna mtu amehack namba yangu ya Tigo anaomba watu pesa

    — Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015

    Niko Kenya line yangu iko off but nashangaa huko Tanzania iko ON na inatumika

    — Ambwene AY (@AyTanzania) January 12, 2015

Kufuatia tukio hilo, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba ameziagiza mamlaka husika kufuatilia haraka jambo hilo.

    “@Tigo_TZ: @JMakamba @AyTanzania tunalipeleka swala hili kwenye idara husika lifanyiwe uchunguzi.”>>>lipatiwe ufumbuzi.

    — January Makamba (@JMakamba) January 12, 2015