Lady Jaydee Ajitosa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi, ni Baada ya Kuachana na Gadner - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Jan 2015

Lady Jaydee Ajitosa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi, ni Baada ya Kuachana na Gadner

Katika Kipindi chake cha Diary of Lady Jay Dee Mwanamuziki Huyo Maarufu ameonekana akiwa kwa Mpiga Ramli wa Kihindi Ambae alikuwa anamtabiria Mambo mbali mbali ya maisha yake katika mwaka huu mpya 2015
Baadhi ya vitu alivyotabiriwa ni hivi :

Anatarajiwa kufunga NDOA 2017 , Atapata Pesa Nyingi sana Mwaka huu ila zikisimamiwa na Mwanaume , Pia Kuna Dalili ya kupata Mtoto Kubwa tu ! so ni swala la Muda tu Mpo ??