1.Roma Mkatoliki,..beats zake karibia zote sawa,nyimbo zake zote ujumbe sawa(harakati)
2.Izzo Bizness yaanii huyu beats zinafanana kila wimbo,mfano chorus ya wimbo mmoja unaweza kuimbia nyimbo zake
zote bila tabu.
3.AY,huyu ndo hana kipya style ile ile,mfano video ya leo na nyimbo baada ya hapo kitu kile kile hamna kipya.
4.Tuda man,huyu hata huwezi kujua analia au anaimba,iwe wimbo wa starehe kama analia tu.
5.Stamina (huyu atachokwa mda si mrefu anadhani misamiati ndo kuwashika watu
6.Young Killer asipoimba bongo fleva hatadumu.
7.Linex nyimbo zake hamna tofauti,kinachomfanya asikike ujumbe wa nyimbo zake.
8.Ben Pol huyu naye hana kipya
9. Jaquar wa Kenya Naye Balaa Nyimbo zake zote zinafanana
10. Bob Junior Mzee wa Kulia kulia kila nyimbo
Toa maoni yako na mtazamo pia ikiwezekana ongeza list ya wasanii wenye kutoa nyimbo zenye mawazo, beat nk.........
20 Jan 2015
New