Mapenzi>> Siwema Mchumba wa Nay wa Mitego Atupia Picha ya Faragha Akiwa na Mpenzi Kitandani - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Jan 2015

Mapenzi>> Siwema Mchumba wa Nay wa Mitego Atupia Picha ya Faragha Akiwa na Mpenzi Kitandani


Mchumba wa siku nyingi wa staa wa Bongo Fleva, Emanuel Elibariki 'Nay wa Mitego' , Siwema Edson'Mama Curtis' amepost  picha za mahaba akiwa kitandani na mzazi mwenzie huyo kupitia Account yake ya Instagram, Siwezi ambae siku za nyuma alikuwa Gumzo mitandaoni baada ya Video yake akivishwa pete na Pedeshee kuvuja , Nay na Siwezi Hivi Karibuni Wamejipatia Mtoto wa kiume ..