Baada ya Waziri Wasira Kupata Aibu ya Suti, Sasa Asalimu Amri Amkimbilia Sheria Ngowi Kuokoa Jahazi, Sasa Mwendo wa Single Button - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Feb 2015

Baada ya Waziri Wasira Kupata Aibu ya Suti, Sasa Asalimu Amri Amkimbilia Sheria Ngowi Kuokoa Jahazi, Sasa Mwendo wa Single Button

Baada ya Babu yetu Mh Wasira kuaziriwa na suti mbele ya watu kwa kufunga vifungu vibaya na kuwa gumzo kubwa mtandaoni na watu kumkejeli sana , unaambiwa sasa kaamua kuwakata watu vidomo kuanzia sasa 
designer wake atakuwa ni Sheria Ngowi ...Mambo ya Single Button na Taxdo kwa Kwenda Mbele...Kiintanational Zaidi

Wewe unamwambia nini Mzee watu kwa Kuchukua Uamuzi Huo ?