TAMBWE Atokea Benchi Na Kupiga Mbili, Yanga Yaua 4-0 - MULO ENTERTAINER

Latest

27 Oct 2016

TAMBWE Atokea Benchi Na Kupiga Mbili, Yanga Yaua 4-0

Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe akishangilia baada ya kutokea benchi na kufunga mabao mawili, Yanga ikishinda 4-0 dhidi ya JKT Ruvu jioni ya leo Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara

Wafungaji wa mabao mengine ya Yanga leo, Obrey Chirwa (kulia) na Simon Msuva (kushoto)