JB na Ray Kucheza Filamu Wakiwa Kama Watoto wa King Majuto - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Feb 2015

JB na Ray Kucheza Filamu Wakiwa Kama Watoto wa King Majuto

JB na Ray Kucheza Filamu Wakiwa Kama Watoto wa King Majuto
Ndani ya mwaka huu panapo majaliwa, tutajionea filamu kali kutokakwa  wakali wa filamu wa hapa Bongo,  Jacob Stephen ‘JB’,Vicent Kigosi ‘Ray’na  King Majuto.
Akidokeza kuhusu ujio huo, JB alisema kwenye filamu hiyo yeye na Ray watacheza kama watoto wa King Majuto na kwasasa  wanatafuta mwigizaji wa kike ili mpango mzima ukamilike.
“Panapo uzima tutakuwa na filamu ya pamoja na king majuto na mwigizaji mmoja wa kike ambaye bado tunamtafuta.mimi na ray tutakuwa watoto wa king”. <span 1.6em;"="">Jb alisema.
Bila shaka itakuwa moja kati ya kazi bora zaidi kwa mwaka huu, Je wewe ungependa mwigizaji gani wakike aongezeke hapa.