Wimbo Mpya wa Allykiba Uliovuja, Wageuka Kuwa Hit Song...Usikilize Hapa - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Jul 2015

Wimbo Mpya wa Allykiba Uliovuja, Wageuka Kuwa Hit Song...Usikilize Hapa

Wakuu wimbo huu ambao upo in form of demo, umeendelea kupata downloaders wengi kwenye web na blogs mbalimbali East Africa, na blogs mbalimbali za Nigeria. Wimbo huu unakwenda kwa jina la "School baby" japokuwa hakuwa umekamilika hata balance ya sauti na beat kuwa haijakamilika lakin umegeuka kuwa hit song.