Je Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' Amelinunua Gari Hili Aina ya Rolls Royce Lenye Thamani ya Zaidi ya Tshs 367,080,000 ? - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Feb 2015

Je Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' Amelinunua Gari Hili Aina ya Rolls Royce Lenye Thamani ya Zaidi ya Tshs 367,080,000 ?

 Diamond ameshtua Mashabiki wake tena baada ya kupost picha ya gari kali na la gharama sana duniani Aina ya Rolls Royce kwenye Page yake ya Instagram
Maswali mengi ...
yamebaki kwa wengi kuwa je ni amenunua gari hilo au ameamua kuonyesha mapenzi kwa gari hilo na ku share picha yake?