Kiukweli Bongo Flava Inalipa Ona Jumba la Kifahari la Mwanamuziki JUX - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Feb 2015

Kiukweli Bongo Flava Inalipa Ona Jumba la Kifahari la Mwanamuziki JUX


Msani mahiri wa Bongo Flava Jux leo amepost Mjengo kwenye Account yake ya instagram na kuandika amekamilisha ndogo yake kubwa ya utoto, hii inamaanisha sanaa ya muziki inafaidisha sana wasanii wanaojituma.
Karibu Tuchangie Maoni.