Kwa Umbo Langu Wakina Masogange na Amanda Poshy Watasubiri Sana, Nashangaa Mnavyowasifia - MULO ENTERTAINER

Latest

11 Feb 2015

Kwa Umbo Langu Wakina Masogange na Amanda Poshy Watasubiri Sana, Nashangaa Mnavyowasifia

Mimi naitwa Wanjiku Kutoka Mombasa , Mie nawashangaa sana wa TZ mnavyowasifia Kina Agness Masogange na Amanda Poshy eti wamejaliwa nyuma, embu waje Kenya waone
wanawake kama mimi tuliojaliwa Sura na Maumbo ya kutatanisha yaaani mimi ukiweka sahani ya chakula hapo nyuma inakaa vizuri kabisa na naweza kutembea nayo bila kuanguka....

Je unamuonaje ? Ni Kweli Agness Masogange Haingii Hapo Kwa Kujaliwaa?