Nuhu Mziwanda asema:Siwezi Kumwacha Mtoto Mzuri Kama Shilole Kwa Kunipiga Kibao tu, Tusitaniane Jamani.. - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Feb 2015

Nuhu Mziwanda asema:Siwezi Kumwacha Mtoto Mzuri Kama Shilole Kwa Kunipiga Kibao tu, Tusitaniane Jamani..

Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili


Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.

Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.