Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Feb 2015

Msanii wa Bongo Movies Akiri Kufanya Biashara ya Kubeba Unga na Kuwauza Wasichana Wenzake kwa Wanaume

 Akihojiwa na Mtandao wa GPL Msanii Lungi Ameulizwa Maswali Mbali mbali , ambayo yamenishtua kidogo ni haya mawili hapa chini ambayo amekiri yote kuwahi kuhusika nayo

Mulo; Wafanyabiashara wengi hasa wanaokwenda nchi hizo ulizotaja wanadaiwa kufanya biashara ya ‘sembe’. Wewe ushawahi kubeba mzigo?

Mulo; Ukweli nimewahi kubeba unga na kuwa mfanyabiashara mzuri tu lakini nimeacha kwani niligundua ni biashara mbaya sana na naomba Mungu anisamehe.

Mulo; Unatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye tabia ya kuwaunganisha wenzako kwa wanaume, hili nalo likoje?

Mulo; Ilikuwa zamani lakini sasa nimeacha, nimeona ni kazi isiyo na manufaa kwangu.