Mwigizaji Batuli Aanika Mambo ya Chumbani Azugumzia Kufuli Anazopenda Kuvaa - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Feb 2015

Mwigizaji Batuli Aanika Mambo ya Chumbani Azugumzia Kufuli Anazopenda Kuvaa

STAA wa sinema za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’ amefungukia mambo yake ya chumbani na kuanika kuwa anapenda kuvaa kufuli zenye rangi tofauti.
Akizungumza na mwanahabari wa...
GPL, Batuli ambaye anaendelea kufanya vizuri Bongo Movies kila kukicha, alisema kama binadamu wengine na yeye linapofika suala la viwalo hivyo vya ndani, anapenda kununua vingi vyenye rangi tofauti.

“Nanunua nyingi lakini sipendi ziwe za rangi moja hivyo siwezi kununua dazeni nzima ila nanunua  chachechache sehemu tofauti ili niweze kupata rangi tofauti,” alisema Batuli