Jionee Jinsi Mkorogo wa Kuchubua Ngozi ulivyomfanya Huyu Mwanaume - MULO ENTERTAINER

Latest

12 Feb 2015

Jionee Jinsi Mkorogo wa Kuchubua Ngozi ulivyomfanya Huyu Mwanaume

Mwanaume huyu anayeitwa  Pela Tonye Okiemute ni maarufu sana huku Nigeria kwa kazi yake anayoifanya ya kutengeneza Mikorogo ya kujichubua ngozi hasa kwa wanawake , Wenyewe wanamwita "King of Beauty", Wateja wake wakubwa ni Wasanii wakubwa na Wanawake wanaojiita
Socialite kama kina Agness Masogange na Vera Sidika, yeye mwenyewe amejichubua vya kutosha kiasi kwamba kama ulikuwa unamjua zamani kwa sasa uwezi kumtambua , Pale Ameshare picha zake alivyokuwa zamani ujionee jinsi mkorogo ulivyombadilisha:


Despite serious backlash online against skin bleaching and lightening, based on the comments and testimonials on his instagram page @pelsinternational, it is obvious that there is a long list of potential clients who want the same skin results.


Haya Wabongo Mpo ? Kwa wale wanaopenda kujichubua Mtaalam Huyo sasa awape coz....