NGURUWE AZAA MTU!..KIJANA ALIYE MTIA MIMBA ASAKWA - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Feb 2015

NGURUWE AZAA MTU!..KIJANA ALIYE MTIA MIMBA ASAKWA

Hata Hivyo wengi waa wakazi wa Nchi hilo wamehusisha tukio hilo na imani za Ushirikina huku wataalamu wakisema kunauwezekano kuwa kunabinadamu aliemuingilia mnyama huyo na kumuachia mbegu za kiume

Katika hali ya kushangaza,Nguruwe amezaa kiumbe kinacofanana na binadamu huko Burundi,tukio hili lilitokea juzi ambapo Nguruwe huyo ambaye amezoeleka kuzaa watoto zaidi ya wastani alizaa kiumbe kimoja tu chenye asili ya kichwa cha binadamu huku sehemu nyingine zikiwa ni mnyama.