Nilifanay Mapenzi na Housegirl Wangu, Sasa Anataka Zamu Sawa na Mke Wangu.. - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Feb 2015

Nilifanay Mapenzi na Housegirl Wangu, Sasa Anataka Zamu Sawa na Mke Wangu..

 Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home wakati mke wangu akiwa kazini.



Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati Nampa haki wife sasa nae anataka apewe haki sawa kama ya bi mkubwa, Kaniambia kama naweza leo nitoke kazini mapema nitamkuta kashajiandaa

Duuh najuta kuanza uhusiano na huyu binti aisee, hali ikiendelea hivi Wife Atajua ..Ushauri Tafadhali