PICHA: Uwoya aonyesha Tatoo yake ili watu waisome? - MULO ENTERTAINER

Latest

21 Feb 2015

PICHA: Uwoya aonyesha Tatoo yake ili watu waisome?

 Picha hii ya mrembo na mwigizaji  wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao.

Irene aliibandika picha hii  mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwahiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.

Mbali na watu kusifia uzuri wake kwa ujumla, watu wengi walijikita kwenye tattoo yake ambayo amejichora juu ya kifua, karivu kabisa na shingo yake.

Wengi walijiongeza kuwa mwanadada huyu ameionyesha tattoo hiyo ili watu waweze kusoma ni nini alichokiandika, na wapo walio jaribu kuandika kile kilichoandikwa hapo.

Kiukweli mimi macho yangu hayako vizuri, mwenye macho tunaomba umtusidie, ameandika nini hapo?.