Polisi Wetu Huu ni Uzembe au ni Kufanya Kazi kwa Mazoea? Wakinyang'anywa Bunduki ni Haki - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Feb 2015

Polisi Wetu Huu ni Uzembe au ni Kufanya Kazi kwa Mazoea? Wakinyang'anywa Bunduki ni Haki

Na ndio maana hawa jamaa huwa wanavamiwa na kuporwa silaha kiurahisi kabisa, kuna haja ya jeshi la polisi kuwaangalia upya hawa vijana mnao waajiri siku hizi.