SIASA...Lowassa Kawa Lulu Bungeni , Wabunge Wapanga Foleni Kumuona - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Feb 2015

SIASA...Lowassa Kawa Lulu Bungeni , Wabunge Wapanga Foleni Kumuona

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, hali yenye msisimko na ya kuonyesha jinsi gani mbunge wa Monduli Ndugu Lowassa anakubalika, imefikia kipindi hapati nafasi ya kupumua kutokana..
na uwingi wa wabunge kupishana kumuona....

Sasa nafkiri imefikia wakati spearker wa bunge aangalie hili jambo, na ikiwezekana apige stop wabunge kwenda kumsalimia Lowassa, imesikika moja wa mbunge akisema hayo.....

Inakadiriwa kwa siku Lowassa anaonwa na zaidi ya wabunge 80 kitu ambacho kinafanya sehemu alipokaa panakuwa busy sana.... Huu ni muendelezo wa kuonyesha ni jinsi gani Lowassa ana mvuto na anavyokubalika katika jamii....

NB: Kweli nyota njema uonekana asubuhi......