Unaambiwa Penzi La Wema Sepetu na Ommy Dimpoz si Siri Tena, Wapiga Picha Wakiwa Bafuni , Wema Ndani ya Taulo - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Feb 2015

Unaambiwa Penzi La Wema Sepetu na Ommy Dimpoz si Siri Tena, Wapiga Picha Wakiwa Bafuni , Wema Ndani ya Taulo

Ule usema unaosema Lisemwalo lipo hatimae umekaribia kutimia , Baada jana kuwawekea picha hapa ya Wema Sepetu na Ommy Dimpoz Wakikamuana Chunusi na watu wengi kutoa maoni kusema kuwa kuna kitu kinaendelea kati yao....

Wenyewe kwa kudhihirisha hilo usiku wa jana wamepost picha wakiwa pamoja bafuni huku wema akiwa ndani ya taulo jeupe na Ommy Dimpoz akinawa mikono kwenye Sinki ..Hii ni ushahidi tosha kwambo asilimia karibia 90 kuna kitu kinaendelea kati yao....