Waao...Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa, Aanza Kuvaa Nguo za Waja Wazito{maternet} - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Feb 2015

Waao...Tazama Ujauzito wa Zari Ulivyokuwa, Aanza Kuvaa Nguo za Waja Wazito{maternet}


Siku zilizosalia za Diamond kuitwa ‘baba’ zinaendelea kuyoyoma. Zari The Bosslady, mchumba wake staa huyo wa ‘Mdogo Mdogo’ anayetarajia kumpa mtoto wake wa kwanza ameendelea kuonekana kama wasemavyo waingereza ‘very pregnant’.
Mrembo huyo wa Uganda ameshare picha kwenye ukurasa wake wa Facebook inayomuonesha jinsi kitumbo chake kinavyozidi kuwa kikubwa. Jionee picha zake zaidi hapo chini.