Mfanyabiashara Bakheresa wa Azam na Jakaya Kikwete....Uso kwa Uso Live - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Mar 2015

Mfanyabiashara Bakheresa wa Azam na Jakaya Kikwete....Uso kwa Uso Live

Huyu jamaa ni nadra sana kumuona hadharani...Jana Katika Uzinduzi wa Studio Mpya za Azam TV , Mfanya Biashara huyo alijitokeza na kukutana na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete Live......

Haya Bakheresa Ndio Huyo ..Najua wengi mlikuwa hamjawahi kumuona...