Nguo Fupi Yamzalilisha, Wanaume Wakware Wamshambulia, Aokolewa na Bado Bado - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Mar 2015

Nguo Fupi Yamzalilisha, Wanaume Wakware Wamshambulia, Aokolewa na Bado Bado

Hiyo ni Picha ya Msichana ambayo siku ya jana imesambaa sana mitandaoni , inasemekana alipita maeneo ya Sinza akiwa amevaa kinguo kifupi ambacho kilivuta hisia za midume wakware na kuanza kumzonga zonga wakitaka kumvua kabisa kimini hicho ...huku wengine wakimchoma vidole sehemu zake za siri ..kwa bahati nzuri alitokea mtu wa boda boda na kuamua kumsaidia kwa kumpakia na kutimua mbio.......

Hii inatufundisha nini ?