Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Mar 2015

Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika Peke Yangu Wanawake Wenzangu Hamnitetei

Prof. Anna Tibaijuka amekuwa akinyanyasika peke yake bila kusaidiwa kutetewa na wanawake wenzake. Ametolea mfano wa sakata la ESCROW ambalo anadai kuwa ameonewa tu!