TICHA WA CHUO ANANITAKA , LA SIVYO ATANIFERISHA NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI JAMANI !? - MULO ENTERTAINER

Latest

4 Mar 2015

TICHA WA CHUO ANANITAKA , LA SIVYO ATANIFERISHA NAOMBENI USHAURI NIFANYE NINI JAMANI !?

Jamani nina rafiki yangu anaesoma katika college
flan, kanipigia cm siku moja iliyopita anadai kuwa
kwa sasa yeye ni binti anayeelekea mwaka wa pili
pale chuoni na toka awe hapo ni almost
wasichana wote walipata wapenzi isipokua yeye
na hata walifikia hatua ya kumbeza na kumcheka
kwa kumuona kama vile hayuko kamili. Si hivyo
tu bali anahitaji sana mtu wa kuwa karibu nae
(mpenzi) na anapenda sana mtu wa kumliwaza
sexually,lakini kadri anavyozidi kupanda



kimasomo ndio rate ya kufatwa na wanaume
inapungua.sasa hivi kuna mkaka mmoja ambae
tayari ana mpenzi wake pale chuoni amemtongoza
na anadai anamueleza maneno matamu ambayo
sio siri yanamteka.Japo anajua ni mpenzi wa
classmate wake lakini pia yeye amevutiwa nae na
ukiongezea hali yake ya ukata wa kimapenzi ndo
basi kabisa haoni jibu la NO.sasa anauliza
afanyaje? na je labda itakuwa ni risk? lakini bado
anasisitiza kwa hali yake hiyo pia akimkataa si
ataendelea kupata tabu? ushauri jamani! Share